Ruka hadi Yaliyomo
1
1
Ee Mungu nguvu yetu
O God of all creation
Ilete Baraka Kwetu.
Bless this our land and nation.
Haki iwe ngao na mlinzi
Justice be our shield and defender
Natukae na undugu
May we dwell in unity
Amani na uhuru
Peace and liberty
Raha tupate na ustawi.
Plenty be found within our borders.
2
2
Amkeni ndugu zetu
Let one and all arise
Tufanye sote bidii
With hearts both strong and true.
Nasi tujitoe kwa nguvu
Service be our earnest endeavour,
Nchi yetu ya Kenya,
And our Homeland of Kenya
Tunayoipenda
Heritage of splendour,
Tuwe tayari kuilinda.
Firm may we stand to defend.
3
3
Natujenge taifa letu
Let all with one accord
Ee, ndio wajibu wetu
In common bond united,
Kenya istahili heshima
Build this our nation together
Tuungane mikono
And the glory of Kenya
Pamoja kazini
The fruit of our labour
Kila siku tuwe na shukrani.
Fill every heart with thanksgiving.
Msimbo wa QR unaounganisha kwenye https://blog.afro.co.ke/sw/katiba/mipangilio/mpangilio-2/wimbo-wa-taifa/