Mpangilio wa Tatu - Viapo vya Kitaifa na Uthibitisho
Vifungu vya 74, 141 (3), 148 (5) na 152 (4).
- Kiapo ama Kukubali kuwa na Uaminifu kwa Rais wa Taifa/Kaimu Rais na Naibu Rais
- Kiapo ama Kukubali kwa Dhati Mamlaka ya Afisi ya Rais/Kaimu wa Rais
- Kiapo ama Kukubali kwa Dhati Mamlaka ya Afisi ya Naibu wa Rais
- Kiapo ama Kukubali kwa Dhati Mamlaka ya Afisi ya Waziri
- Kiapo ama Kukubali kwa Dhati Mamlaka ya Afisi ya Katibu wa Baraza la Mawaziri/Katibu Mkuu
- Viapo kwa Jaji mkuu/Rais wa Mahakama Kuu, Majaji wa Mahakama Kuu, Majaji wa Mahakama ya Rufani na Majaji wa Mahakama ya Juu
- Kiapo/Kukiri kuwa Mbunge (Seneti/Baraza Kuu la Kitaifa)
- Kiapo cha Spika/Naibu wa Spika wa Seneti/Baraza Kuu la Kitaifa