Ruka hadi Yaliyomo

Mimi, ……………… , naapa/nakubali kwa dhati kuwa nitawatumikia watu wote wa Jamhuri ya Kenya kwa bidii katika afisi ya Rais/ Kaimu Rais wa Jamhuri ya Kenya; kwamba nitatekeleza majukumu na wajibu wangu kwa uaminifu katika afisi ya Rais/Kaimu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya; na nitatenda haki kwa wote kulingana na Katiba hii, na kupitia kwa sheria zilizowekwa bila woga, upendeleo, upendo au chuki. (Kama ni kiapo: Ee Mungu nisaidie)

Msimbo wa QR unaounganisha kwenye https://blog.afro.co.ke/sw/katiba/mipangilio/mpangilio-3/kiapo-cha-afisi-ya-rais-au-kaimu-wa-rais/