Ruka hadi Yaliyomo

Katika kipindi cha miaka mitano baada ya tarehe ya kutekelezwa kwa Katiba hii, serikali ya kitaifa itafanya marekebisho katika mfumo wa utawala ulio maarufu kwa jina la utawala wa mkoa, ili uafikiane na kuheshimu mfumo wa serikali ya ugatuzi ulioundwa chini ya Katiba hii.

Msimbo wa QR unaounganisha kwenye https://blog.afro.co.ke/sw/katiba/mipangilio/mpangilio-6/sehemu-4/utawala-wa-mkoa/