Ruka hadi Yaliyomo

Kifungu 3. Kuilinda Katiba Hii

(1) Kila mtu ana jukumu la kuiheshimu, kuitetea na kuilinda Katiba hii.

(2) Jaribio lolote la kubuni Serikali bila kufuata Katiba hii ni kinyume cha sheria.