Ruka hadi Yaliyomo

(1) Sheria ya Bunge itawekea kanuni na masharti ambayo kwayo serikali ya kitaifa inaweza kudhamini mikopo.

(2) Kati ya kipindi cha miezi miwili baada ya kukamilika kwa mwaka wa fedha, serikali ya taifa itachapisha ripoti itakayoonyesha dhamana zote ilizozitoa wakati wa kipindi cha mwaka huo.

Msimbo wa QR unaounganisha kwenye https://blog.afro.co.ke/sw/katiba/sura-12/sehemu-3/kifungu-213/udhamini-wa-mikopo/