Afisa wa umma hataweza–
- (a) kuonewa au kubaguliwa kwa kutekeleza majukumu ya kiafisi kwa mujibu wa Katiba hii au sheria nyingine yoyote; au
- (b) kufutwa, kuondolewa afisini au kushushwa cheo au kuadhibiwa bila kufuata utaratibu wa sheria.
Afisa wa umma hataweza–