Ruka hadi Yaliyomo

Kifungu 247. Huduma Nyingine za Polisi

Bunge linaweza kutunga sheria zitakazounda huduma nyingine za polisi chini ya usimamizi wa Huduma za Polisi za Kitaifa na usimamizi wa Inspekta-Mkuu wa huduma hii.