Ruka hadi Yaliyomo

Kila tume na afisi huru–

  • (a) ni asasi shirikishi iliyo na msururu wa urithi na muhuri wake; na
  • (b) inaweza kushtaki na kushtakiwa katika jina lake la kiushirika.
Msimbo wa QR unaounganisha kwenye https://blog.afro.co.ke/sw/katiba/sura-15/kifungu-253/ushirikishwaji-wa-tume-na-afisi-huru/