Ruka hadi Yaliyomo

Kifungu 264. Kubatilishwa kwa Katiba ya Awali

Kwa mujibu wa Mpangilio wa sita, ili kuondoa shaka, Katiba inayotumika kabla ya tarehe ya kuidhinisha Katiba hii, itabatilishwa kwenye tarehe hiyo.