Ruka hadi Yaliyomo

(1) Kila mtu ambaye alikuwa raia punde tu kabla ya kuanza kutumika Katiba hii atadumisha hali ya uraia wake.

(2) Uraia unaweza kupatikana kwa kuzaliwa, au kujiandikisha.

(3) Uraia haupotezwi kwa sababu ya ndoa au kuvunjika kwa ndoa.

Msimbo wa QR unaounganisha kwenye https://blog.afro.co.ke/sw/katiba/sura-3/kifungu-13/uraia/