Sura ya Nne - Sehemu ya 2. Haki na Uhuru wa Kimsingi
- Kifungu 26. Haki ya Kuishi
- Kifungu 27. Usawa na Uhuru Dhidi ya Kubaguliwa
- Kifungu 28. Hadhi ya Binadamu
- Kifungu 29. Uhuru na Usalama wa Mtu
- Kifungu 30. Utumwa na Kazi ya Kulazimishwa
- Kifungu 31. Faragha
- Kifungu 32. Uhuru wa Dhamiri, Dini, Imani na Maoni
- Kifungu 33. Uhuru wa Kujieleza
- Kifungu 34. Uhuru wa Vyombo vya Habari
- Kifungu 35. Upataji Habari
- Kifungu 36. Uhuru wa Kutangamana
- Kifungu 37. Mikutano, Maandamano, Migomo na Malalamiko
- Kifungu 38. Haki za Kisiasa
- Kifungu 39. Uhuru wa Kutembea na Makaazi
- Kifungu 40. Ulinzi wa Haki ya Kumiliki Mali
- Kifungu 41. Mahusiano ya Kikazi
- Kifungu 42. Mazingira
- Kifungu 43. Haki za Kiuchumi na Kijamii
- Kifungu 44. Lugha na Utamaduni
- Kifungu 45. Familia
- Kifungu 46. Haki za Watumiaji wa Bidhaa
- Kifungu 47. Hatua ya Haki za Kiutawala
- Kifungu 48. Uwezo wa Kufikia Haki
- Kifungu 49. Haki za Waliotiwa Mbaroni
- Kifungu 50. Haki Katika Kusikizwa kwa Kesi
- Kifungu 51. Haki za Walio Kizuizini, Walioshikwa ama Waliofungwa