Ruka hadi Yaliyomo

Kila mtu ana haki ya faragha yake, inayohusisha haki ya–

  • (a) kutosakwa yeye mwenyewe, makao yake au mali yake;
  • (b) mali kutonyakuliwa;
  • (c) habari kuhusu familia au masuala ya kibinafsi ambayo hayahitajiki au kufichuliwa pasi na umuhimu wowote;
  • (d) faragha ya mawasiliano yao kutoingiliwa.
Msimbo wa QR unaounganisha kwenye https://blog.afro.co.ke/sw/katiba/sura-4/sehemu-2/kifungu-31/faragha/