Ruka hadi Yaliyomo

Kifungu 52. Ufafanuzi wa Sehemu Hii

(1) Sehemu hii inafafanua kwa undani baadhi ya haki ili kuhakikisha kiwango cha juu katika kutekeleza haki hizo na uhuru wa kimsingi kwa makundi fulani ya watu.

(2) Sehemu hii haitafasiriwa kama kuwekea mipaka au kustahilisha haki yoyote.