Ruka hadi Yaliyomo

(1) Serikali itachukua hatua kuhakikisha haki za wazee–

  • (a) kushiriki kikamilifu katika masuala ya jamii;
  • (b) kutafuta maendeleo ya kibinafsi;
  • (c) kuishi kwa hadhi na heshima na kuwa huru dhidi ya dhuluma;
  • (d) kupata malezi ya kufaa na msaada kutoka kwa familia zao na Serikali.
Msimbo wa QR unaounganisha kwenye https://blog.afro.co.ke/sw/katiba/sura-4/sehemu-3/kifungu-57/wazee/