Ruka hadi Yaliyomo

Kifungu 61. Uainishaji wa Ardhi

(1) Ardhi yote nchini Kenya ni ya Wakenya wote kama taifa, jamii na kama watu binafsi.

(2) Ardhi yote nchini Kenya inaainishwa kama mali ya umma, jamii au ya kibinafsi.