Ruka hadi Yaliyomo

Kifungu 72. Sheria Kuhusu Mazingira

Bunge litatunga sheria ya utekelezaji kamili wa masharti ya Sehemu hii.