Ruka hadi Yaliyomo

(1) Hakuna mtu anayepaswa kuchaguliwa au kuteuliwa katika afisi ya Serikali ikiwa si raia wa Kenya.

(2) Afisa wa Serikali au afisa mlinda usalama hatakuwa na uraia mara mbili.

(3) Ibara za (1) na (2) hazitatumika kwa–

  • (a) Majaji na wanachama wa tume; au
  • (b) mtu yeyote ambaye amekuwa raia wa nchi nyingine na kwa utekelezaji wa sheria ya nchi hiyo, hana uwezo wa kutoka.
Msimbo wa QR unaounganisha kwenye https://blog.afro.co.ke/sw/katiba/sura-6/kifungu-78/uraia-na-uongozi/