Ruka hadi Yaliyomo

Bunge litatunga sheria ya kubuniwa kwa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi, ambayo itakuwa na hadhi na mamlaka sawa na tume iliyo chini ya Sura ya Kumi na Tano, kwa nia ya kuhakikisha utimizaji na utekelezaji wa masharti ya Sura hii.

Msimbo wa QR unaounganisha kwenye https://blog.afro.co.ke/sw/katiba/sura-6/kifungu-79/tume-ya-maadili/