Ruka hadi Yaliyomo

Bunge litatunga sheria kuimarisha uwakilishwaji Bungeni wa-

  • (a) wanawake;
  • (b) watu wenye ulemavu;
  • (c) vijana;
  • (d) makabila na wengine walio wachace; na
  • (e) jamii iliyotengwa.
Msimbo wa QR unaounganisha kwenye https://blog.afro.co.ke/sw/katiba/sura-8/sehemu-2/kifungu-100/makundi-yaliyotengwa/