Ruka hadi Yaliyomo

(1) Kila mtu ana haki ya kulalamikia Bunge ili lishughulikie suala lolote lililo katika mamlaka yake ikiwa ni pamoja na, kurekebisha au kutoa sheria yoyote.

(2) Bunge litaweka Vifungu vya muhimu kuhusu utaratibu wa kutekeleza haki hii.

Msimbo wa QR unaounganisha kwenye https://blog.afro.co.ke/sw/katiba/sura-8/sehemu-5/kifungu-119/kulalamikia-bunge/