Ruka hadi Yaliyomo

Kifungu 128. Makarani na Wafanyakazi wa Bunge

(1) Kutakuwa na Karani wa kila bunge atakayeteuliwa na Tume ya Huduma za Bunge kwa idhini la Bunge husika.

(2) Afisi za makarani na afisi za wahudumu katika afisi hizo zitakuwa afisi katika huduma ya Bunge.