Ruka hadi Yaliyomo

Kifungu 135. Maamuzi ya Rais

Uamuzi wa Rais katika utekelezaji wa jukumu lolote la Rais chini ya Katiba hii utakuwa kwa maandishi na itahitajika kuwa na muhuri na saini ya Rais.